
Kuboresha ufikio kwa Huduma za Kimatibabu
Watu wote wanapaswa kupata huduma za afya, bila kujali wanaishi wapi. Kitengo cha Afya Duniani cha Sanofi ni kitengo kisicho cha faida kilichoundwa kwa kanuni za shirika la afya ya msingi. Tunajitahidi kuboresha ufikiaji wa dawa muhimu katika nchi zilizo na mahitaji ya juu zaidi ambayo hayajatimizwa ili kusaidia huduma ya afya endelevu.
Miradi inayoendelea katika nchi wanachama wa GHU
Mshirika anatekeleza programu katika nchi husika*

Mkondo wa matibabu na thamani
#Jumla ya Wagonjwa waliotibiwa kwa NCDS*
Huduma ya
Wagonjwa
#Jumla ya wafaidi waliofikiwa kupitia mipango hii**
Kuwezesha
HCP
#Jumla ya HCW na HCP zilizofunzwa**
* Data ya ndani ya Sanofi mwishoni mwa Q2 2025
** Data ya ndani ya Sanofi mwishoni mwa Q1 2025
Habari Mpya
Tunaamini kuwa njia ya pekee kuboresha afya ya watu wengi katika nchi zenye mapato ya kiwango cha chini na ya kiwango cha kati ni kwa juhudi endelevu, kujitolea kwa kudumu na mbinu, ambazo zimekita katika kanuni za shirika la afya msingi.
Hiyo ndiyo sababu tumebuni suluhisho linalo weza kufikiwa linaloitwa Impact ambalo linatusaidia kuleta sokoni aina nyingi za viwango vya huduma za kimatibabu katika nchi yako, zilizo sawa na chapa za matoleo yanayouzwa katika nchi zingine.
Lengo letu
Upatikanaji wa matibabu
Kuboresha ufikiaji wa matibabu bora ya Sanofi kupitia huduma ya afya bunifu na jumuishi.
Matibabu ya bei nafuu
Kutoa matibabu bora kwa bei nafuu ili kupanua nafasi ya ufikiaji wa dawa za huduma ya kawaida.
Kuimarisha mifumo ya kiafya
Kusaidia mifumo ya kiafya katika maeneo husika kupitia kwa ushirikiano wa kuleta mabadiliko unaoleta mabadiliko endelevu.
Je una swali au unahitaji msaada?
Pata majibu ya maswali ya kila mara katika eneo letu la Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi (FAQ). Labda swali lako limewahi kuulizwa tayari. Ikiwa hutapata jibu lako, unakaribishwa kila mara kuwasiliana nasi.
MAT-GLB-2304595 (v5.0) Machi 2025