Miradi inayoendelea katika nchi wanachama wa GHU
33
Mshirika anatekeleza programu katika nchi husika
Mkondo wa matibabu na thamani
362,737
#Jumla ya Wagonjwa waliotibiwa kwa NCDS
Huduma ya Wagonjwa
166,185
#Jumla ya wafaidi waliofikiwa kupitia mipango hii
Kuwezesha HCP
4,236
#Jumla ya HCW na HCP zilizofunzwa
Kutoa impact endelevu
Tunaamini kuwa njia ya pekee kuboresha afya ya watu wengi katika nchi zenye mapato ya kiwango cha chini na ya kiwango cha kati ni kwa juhudi endelevu, kujitolea kwa kudumu na mbinu, ambazo zimekita katika kanuni za shirika la afya msingi.
Hiyo ndiyo sababu tumebuni suluhisho linalo weza kufikiwa linaloitwa Impact ambalo linatusaidia kuleta sokoni aina nyingi za viwango vya huduma za kimatibabu katika nchi yako, zilizo sawa na chapa za matoleo yanayouzwa katika nchi zingine.
Lengo letu
Upatikanaji wa matibabu
Kuboresha ufikiaji wa matibabu bora ya Sanofi kupitia huduma ya afya bunifu na jumuishi.
Matibabu ya bei nafuu
Kutoa matibabu bora kwa bei nafuu ili kupanua nafasi ya ufikiaji wa dawa za huduma ya kawaida.
Kuimarisha mifumo ya kiafya
Kusaidia mifumo ya kiafya katika maeneo husika kupitia kwa ushirikiano wa kuleta mabadiliko unaoleta mabadiliko endelevu.
Bidhaa za Impact
Gundua jalada letu la bidhaa za impact zilizo na dawa za huduma ya kawaida kwa ajili ya magonjwa yasiyoambukizwa kama vile ugonjwa wa moyo na kisukari.
Maeneo ya kupata tiba
Kisukari
Pitia raslimali zetu za kusaidia huduma fanisi kwa watu wanaoishi na kisukari katika jamii zilizo hatarini.
Ugonjwa wa moyo
Pata muhtasari wa kazi yetu masuala ya ugonjwa wa moyo na jinsi tunaweza kukusaidia wewe na wagonjwa wako.
Onkolojia
Gundua rasilimali zetu zinazolenga kutoa huduma fanisi kwa ajili ya wagonjwa wa kionkolojia.
Fahamu habari za kisasa
Chukua muda mfupi kupitia habari na vipengele muhimu kuhusu mipango yetu inayo endelea.
Je una swali
au unahitaji msaada?
Pata majibu ya maswali ya kila mara katika eneo letu la Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi (FAQ). Labda swali lako limewahi kuulizwa tayari. Ikiwa hutapata jibu lako, unakaribishwa kila mara kuwasiliana nasi.
MAT-GLB-2304595-
DOP: Oktoba 2023