Tunazindua bidhaa asili za Sanofi chini ya jina la chapa ya Impact. Bidhaa hizi ni za aina moja, ni jina pekee ndilo litabadilika. Kwa kubadilisha na kuchukua chapa ya jina la Impact tunaweza kutoa ufikio na upatikanaji wa matibabu ya bei nafuu kwa watu walio katika nchi za mapato ya kiwango cha chini na kati. Siku zijazo, bidhaa zaidi zitajiunga kwenye orodha. Lakini kwa sasa, unaweza kupitia bidhaa zetu za sasa za kukinga na kudhibiti magonjwa yasiyoambukizwa zilizo hapa chini.
You are going to a website that is not operated by Sanofi. Sanofi has no control over the content or availability of linked sites or resources, and accepts no liability or responsibility for them or for any loss or damage that may arise from your use of them.
The existence of a link between this website and any third party site or resource in no way implies that Sanofi in any way approves of the content of these sites or resources, or any use to which such content maybe put.
Please ensure that you read the legal and privacy policy sections of any third-party site to which you link.