Jinsi tunavyoshughulikia maeneo ya kisukari

Tunatambua jukumu letu la kutekeleza mabadiliko endelevu, sio tu kwa kuhakikisha upatikanaji bora na ufikio rahisi kwa dawa za kisukari ila pia kubuni mipango inayowezesha na kuimarisha mazingira ya huduma ya afya ambayo yanatoa kipaumbele kwa kudhibiti hali hii, hasa sana katika nchi zilizo na Mapato ya Kiwango cha Chini na Kati. 

Zaidi ya karne moja yakuwatibu watu walio na kisukari

Tangu kuzindua matibabu yetu ya kwanza ya kisukari zaidi ya miaka 100 iliyopita, tumekuwa mstari wa mbele katka kudhibiti kisukari, ikiwemo kutengeneza insulin.

Gundua Kampasi yetu ya Insulin iliyo Frankfurt, Ujerumani, moja wapo ya vituo vya kuzalisha insulin Duniani. 

Je, Uliwahi kujua? Shauku yetu

  Nchi 40 

zitapokea matibabu chini ya jina la Impact.

 Bidhaa 30

zitakuwa sehemu ya bidhaa zinazopatikana katika jalada letu, hapa chini ya insulin.

 Milioni 500 

bidhaa za safi za insulin huru kutokana na viini zitatengenezwa na sanofi kila mwaka.

Dhana na Kweli Kuhusu Insulin

Jifunze ukweli kuhusu insulin ili kuondoa dhana.

Kupata dozi mwafaka kwa wanaoanza kutumia insulin

Kila mara kunalo hitaji la kurekebisha dozi za insulin mwanzoni mwa matibabu pia katika kipindi chote cha matibabu hayo, kwa kutegemea viwango vya sukari vya mgonjwa. Raslimali hii inaorodhesha mchakato.

Je una swali
au unahitaji msaada?
  

Pata majibu ya maswali ya kila mara katika eneo letu la Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi (FAQ). Labda swali lako limewahi kuulizwa tayari. Ikiwa hutapata jibu lako, unakaribishwa kila mara kuwasiliana nasi.

MAT-GLB-2304595
DOP: Oktoba 2023