Jinsi tunavyoshughulikia ugonjwa wa moyo
Tunafanya kazi kuhakikisha ufikiaji na upatikanaji wa dawa za ugonjwa wa moyo, hasa sana katika nchi za mapato ya kiwango cha chini na kati zilizo na mahitaji mengi ambayo hayajatimizwa. Wakati uohuo tumejitolea kutekeleza mipango inayoimarisha mifumo ya huduma ya afya katika jamii hizi ili kusaidia huduma bora kwa watu walio na ugonjwa wa moyo.
Tafuta maudhui yanayokufaa
Je, Uliwahi kujua?
Kwa miaka 60 Sanofi imejitolea kuendelea kubadilika na kufanya kazi kwa karibu na washirika wa huduma ya afya ili kutoa masuluhisho kuhusu ugonjwa wa moyo.
Rasilimali za wataalamu wa huduma ya afya
Fahamu raslimali na miongozo iliyopo sasa ambazo zimeteuliwa katika eneo la tiba ya ugonjwa wa moyo.
Raslimali za wagonjwa
Gundua rasilimali za wagonjwa na wauguzi.
Mwongozo wa hali ya juu ulio na faharasa ya maneno muhimu na maelezo yanayotumika katika eneo la ungonjwa wa moyo, ikiwemo vipengele vya hatari na dalili za ugonjwa wa moyo.
Tazama bidhaa zetu za Impact
Gundua bidhaa zetu za Impact za kutibu ugonjwa wa moyo na magonjwa mengine yasiyoambukizwa.
Je una swali
au unahitaji msaada?
Pata majibu ya maswali ya kila mara katika eneo letu la Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi (FAQ). Labda swali lako limewahi kuulizwa tayari. Ikiwa hutapata jibu lako, unakaribishwa kila mara kuwasiliana nasi.
MAT-GLB-2304595
DOP: Oktoba 2023