Jinsi tunavyoshughulikia maeneo ya kisukari
Tunatambua jukumu letu la kutekeleza mabadiliko endelevu, sio tu kwa kuhakikisha upatikanaji bora na ufikio rahisi kwa dawa za kisukari ila pia kubuni mipango inayowezesha na kuimarisha mazingira ya huduma ya afya ambayo yanatoa kipaumbele kwa kudhibiti hali hii, hasa sana katika nchi zilizo na Mapato ya Kiwango cha Chini na Kati.
Tafuta maudhui yanayokufaa
Zaidi ya karne moja yakuwatibu watu walio na kisukari
Tangu kuzindua matibabu yetu ya kwanza ya kisukari zaidi ya miaka 100 iliyopita, tumekuwa mstari wa mbele katka kudhibiti kisukari, ikiwemo kutengeneza insulin.
Gundua Kampasi yetu ya Insulin iliyo Frankfurt, Ujerumani, moja wapo ya vituo vya kuzalisha insulin Duniani.
Je, Uliwahi kujua? Shauku yetu
Nchi 40
zitapokea matibabu chini ya jina la Impact.
Bidhaa 30
zitakuwa sehemu ya bidhaa zinazopatikana katika jalada letu, hapa chini ya insulin.
Milioni 500
bidhaa za safi za insulin huru kutokana na viini zitatengenezwa na sanofi kila mwaka.
Rasilimali za wataalamu wa huduma ya afya
Fahamu raslimali zilizopo sasa ambazo zimeteuliwa katika eneo la tiba ya kisukari.
Miongozo ya tiba kimataifa
Kupata msukumo kwa ajili ya shughuli zako za kimatibabu
Je, unaweza kufanya nini ili kusaidia watu walio na Kisukari Aina ya 2 waendelee na matibabu yao? Tazama Dkt. Stewart Harris na Dkt. Frank Snoek wakijadili maoni yao kuhusu kupunguza kukomeshwa na matumizi ya insulin kwa wagonjwa walio na kisukari Aina ya 2.
Kufanya Mabadiliko Endelevu na Washirika wa Ndani: Action4Diabetes
Soma kuhusu ushirikiano wetu na Action4Diabetes (A4D) ili kuboresha maisha ya watu wanaoishi na kisukari cha Aina ya 1 nchini Kambodia, Lao na Myanmar.
Bidhaa za Impact
Gundua jalada letu la bidhaa za impact zilizo na dawa za huduma ya kawaida kwa ajili ya magonjwa yasiyoambukizwa kama vile ugonjwa wa moyo na kisukari.
Rasilimali za kushughulikia wagonjwa wa kisukari
Ni rahisi kujihisi mpweke ukiwa na changamoto za kisukari. Kujua jinsi kisukari na mwili vinafanya na kupata msaada kutoka kwa familia, rafiki na timu ya usaidizi wa kimatibabu ni muhimu katika kusaidia kudhibiti kisukari Aina ya 1 au Aina ya 2.
Gundua rasilimali zetu teule za wagonjwa na wauguzi.
Jifunze ukweli kuhusu insulin ili kuondoa dhana.
Kupata dozi mwafaka kwa wanaoanza kutumia insulin
Kila mara kunalo hitaji la kurekebisha dozi za insulin mwanzoni mwa matibabu pia katika kipindi chote cha matibabu hayo, kwa kutegemea viwango vya sukari vya mgonjwa. Raslimali hii inaorodhesha mchakato.
Je una swali
au unahitaji msaada?
Pata majibu ya maswali ya kila mara katika eneo letu la Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi (FAQ). Labda swali lako limewahi kuulizwa tayari. Ikiwa hutapata jibu lako, unakaribishwa kila mara kuwasiliana nasi.
MAT-GLB-2304595
DOP: Oktoba 2023