Kuanzia Amaryl® M hadi Glimepiride Metformin Hydrochloride Impact
Hivi karibuni tutazindua bidhaa za Amaryl® M chini ya chapa ya jina la Impact.
Chapa ya Impact ni bidhaa ile ile yenye thamani sawa na Amaryl® M, isipokuwa tu kwa jina tofauti. Kwa nini? Kwasababu hili linatusaidia kutoa dawa hii katika nchi yako kwa bei nafuu Zaidi.
Soma zaidi kuhusu kwa nini jina linabadilika katika FAQ yetu.
Rasilimali kwa ajili ya wagonjwa
Wasaidie wagonjwa wako kwa raslimali zinazohusu Glimepiride Metformin Hydrochloride Impact na jinsi ya kutoa matibabu yao.
Kijikaratasi cha taarifa ya mgonjwa
Wape wagonjwa wako muhtasari wa tiba yao na jinsi ya kudhibiti kisukari chao kwa Glimepiride Metformin Hydrochloride Impact. Kijikaratasi hiki kinapatikana katika lugha nyingi.
Je una swali
au unahitaji msaada? 
Pata majibu ya maswali ya kila mara katika eneo letu la Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi (FAQ). Labda swali lako limewahi kuulizwa tayari. Ikiwa hutapata jibu lako, unakaribishwa kila mara kuwasiliana nasi.
Kipengele cha kutoa habari kuhusu matukio mabaya kukiwa na malalamiko kuhusu ubora wa bidhaa kushuku udanganyifu, bandia au bidhaa visivyotumika ilivyokusudiwa, tafadhali andikia Quality.PartnerMarketsAfrica@sanofi.com. Tafadhali shiriki nasi maelezo ya sampuli au picha ya dawa kasoro au bidhaa kasoro, na taarifa kuhusu jina la bidhaa hiyo, nambari ya toleo, tarehe ya mwisho wa matumizi na idadi.
Tafadhali pia wasilisha kwa Sanofi (Quality.PartnerMarketsAfrica@sanofi.com) taarifa yoyote kuhusu bidhaa zinazoshukiwa kuwa za udanganyifu, bandia au zinazotumika isivyokusudiwa.
Lugha ya Kiingereza ikiwezekana inapendekezwa kwa ajili ya mchakato wa haraka.
Ikiwa una wasiwasi kuhusu afya yako, hali yako, au athari zozote za kimatibabu unazokuwa unashuhusia, zungumza na daktari au mwanafamasia wako. Unaweza kutoa taarifa kuhusu athari zozote za kimatibabu kwa Mamlaka ya Afya au moja kwa moja kwa sanofi kupitia jukwaa letu la kimtandao ae.reporting.sanofi. Kwa kuripoti athari za kimatibabu unaweza kusaidia kwa kutoa taarifa zaidi kuhusu usalama wa dawa hii.
MAT-GLB-2304595
DOP: Oktoba 2023