Habari za hivi punde na majarida

Ufadhili wa Biashara kwa ajili ya Impact EVPA mjini Venice 2023

Global Health Unit ya Sanofi ilikuwa mfadhili muhimu na ilishiriki katika kongangamano la EVPA 2023 mjini Venice. Soma mengi kuhusu kushiriki kwetu. 

Ripoti ya uchanganuzi wa hali ya magonjwa yasiyoambukiza ya Path.org

Soma ripoti kutoka kwa Path.org zinazofichua uchambuzi wa hali ya Magonjwa Yasiyoambukizwa katika Nchi Zilizo na Mapato ya Kiwango cha Chini na cha Kati.

C/Can Cancer navigator Kigali

Soma zaidi kuhusu jinsi taasisi ya City Cancer Challenge inavyosaidia Kituo cha Matibabu cha Rwanda katika kuimarisha mpango wa urambazaji wa wagonjwa.

Kufanya Mabadiliko Endelevu na Washirika wa Ndani: Action4Diabetes

Soma kuhusu ushirikiano wetu na Action4Diabetes (A4D) ili kuboresha maisha ya watu wanaoishi na kisukari cha Aina ya 1 nchini Kambodia, Lao na Myanmar.

Kuimarisha maarifa na ujuzi wa Wataalamu wa Huduma ya Afya kuhusu kisukari kwa IDF

Soma zaidi kuhusu ushirikiano kati ya Shirikisho la Kimataifa la Kisukari (International Diabetes Federation, IDF) na Global Health Unit ya Sanofi kwa ajili ya huduma bora za kisukari katika nchi za kipato cha chini na cha kati.

Kukabiliana na Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza Nchini Benin

Soma zaidi kuhusu ushirikiano wetu na Alliance MNT na Wizara ya Afya, ambao unalenga kuboresha usimamizi na uzuiaji wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza nchini Benin.

Mradi wa Phindu

Soma zaidi kuhusu jinsi CHAM, kwa msaada kutoka kwa Kitengo cha Afya cha Kimataifa cha Sanofi, inavyotekeleza mradi wa Phindu huko Nkhata Bay na Mzimba, kwa kujenga vituo 12 vya afya kwa ajili ya kutekeleza programu ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza.

Kubadilisha Huduma za Afya kwa Watoto wa Yemen

Soma zaidi kuhusu ushirikiano wetu na Save the Children unaolenga kuimarisha mifumo na ubora wa huduma katika udhibiti wa kisukari huko Yemen. 

MAT-GLB-2304595
DOP: Oktoba 2023