
Jinsi tunavyoshughulikia maeneo ya kisukari
Tunatambua jukumu letu la kutekeleza mabadiliko endelevu, sio tu kwa kuhakikisha upatikanaji bora na ufikio rahisi kwa dawa za kisukari ila pia kubuni mipango inayowezesha na kuimarisha mazingira ya huduma ya afya ambayo yanatoa kipaumbele kwa kudhibiti hali hii, hasa sana katika nchi zilizo na Mapato ya Kiwango cha Chini na Kati.
Jifunze ukweli kuhusu insulin ili kuondoa dhana.
Kupata dozi mwafaka kwa wanaoanza kutumia insulin
Kila mara kunalo hitaji la kurekebisha dozi za insulin mwanzoni mwa matibabu pia katika kipindi chote cha matibabu hayo, kwa kutegemea viwango vya sukari vya mgonjwa. Raslimali hii inaorodhesha mchakato.

Playing this video will share cookies with YouTube.
Zaidi ya karne ya kutibu watu wenye ugonjwa wa kisukari
Tangu kuzindua matibabu yetu ya kwanza ya ugonjwa wa kisukari zaidi ya miaka 100 iliyopita, tumekuwa mstari wa mbele katika udhibiti wa ugonjwa wa kisukari, ikiwa ni pamoja na utengenezaji wa insulini.
Gundua Kampasi yetu ya Insulini huko Frankfurt, Ujerumani
Moja ya tovuti kubwa zaidi za uzalishaji wa insulini ulimwenguni.

Playing this video will share cookies with YouTube.
Je una swali au unahitaji msaada?
Pata majibu ya maswali ya kila mara katika eneo letu la Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi (FAQ). Labda swali lako limewahi kuulizwa tayari. Ikiwa hutapata jibu lako, unakaribishwa kila mara kuwasiliana nasi.
MAT-GLB-2304595 (v5.0) Machi 2025